Mama awatupa watoto watano Mahakamani.

  0
  188
  Mama awatupa wanawe watano kwenye Mahakama ya Machakos

  Mama mmoja amewaacha wanawe watano ndani ya Mahakama ya Machakos kama njia moja wapo ya kuonyesha kutoridhika na uamuzi wa Mahakama nyingine kutokana na kesi aliyokuwa nayo ya shamba kwa miaka kumi na mitano.

  Mama huyo alikuwa ameshinda kesi ya shamba lake katika Mahakama ya Machakos lakini baada ya uamuzi alijua baadaye aliyekuwa amemushitaki alikuwa ameenda tena kwenye Mahakama nyingine ya Nairobi kupata cheti cha kumusimamisha(Stay Order) ili asifanye chochote kwenye ardhi hiyo jambo lililokuwa linaganganya.

  Hali hiyo ilimupelekea kuamua kuwapeleka watoto wake watano ndani ya Mahakama ya Machakos iliyofanya uamuzi Mama huyo apewe shamba lake na kuwaacha hapo watoto hao.

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here