Sababu za Rais Museveni kufanya ziara ya siku mbili Kenya.

0
266
Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Mwenyeji Rais Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Moi Mombasa.

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni yuko humo nchini kwa ziara ya siku mbili.

Museveni aliyewasili katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Moi mjini Mombasa asubuhi Jumatano,anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya rais ya Mombasa.

Museveni alilakiwa na Uhuru Kenyatta, sababu ya ziara hiyo itajulikana Alhamisi ambapo wawili hao watahutubia wanahabari katika pot ya Mombasa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here